MATOKEO- ITILIMA DC - Copy.xls
Mkuu wa Wilaya ya Itilima Mhe. Faidha S. Salim Kwa kushirikiana na Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali (NBS) Wanapenda kuwataarifu white waliyo chaguliwa na kufaulu katika usaili uliyofanyika tarehe 20/7/2022 Kwa kazi ya muda ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 Kwa nafasi ya Makarani, Wasimamizi wa Maudhui na Msimamizi was Tehama.
Mafunzo Kwa ngazi ya wilaya yataanza tarehe 29/7/2022 hadi terehe 18/8/2022 katika vituo vifuatavyo
Bofya kiunganishi halo chini kuangalia Majina
DED - ITILIMA
Sanduku la Posta: 308 BARIADI
Simu: +255 28 29 863 29
Simu: 028 29 863 28
Barua Pepe: info@itilimadc.go.tz
Hatimiliki ©2016 Kitengo cha TEHAMA. Haki Zote Zimehifadhiwa