• MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
Itilima District Council
Itilima District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Sisi ni nani?
    • Dira na Dhamira
    • Taarifa ya Halmashauri
  • Utawala
    • Idara
      • Rasilimali watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango
      • Afya
      • Mifugo
      • Kilimo
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Ugavi
      • Sheria
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
    • Muundo
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Ujenzi
    • Leseni za Biashara
    • Umilikaji wa Ardhi
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba Video
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi inayofadhiliwa na Wahisani
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea na Ujenzi
    • Maandiko ya Miradi
  • Zabuni
  • Uwekezaji
  • FFARS LINK

Leseni za Biashara

TARATIBU ZA UTOAJI LESENI ZA BIASHARA

Mteja kujaza fomu ya Maombi ya Leseni za biashara TFN 211 FOMU YA BIASHARA.pdf na kuambatisha nyaraka zifuatazo:-

  • Nakala ya hati ya kuandikisha jina la Biashara au Kampuni

(Photocopy of Certificate of Incorporation or Registration & Extract);

  • “Memorandum, and Articles of Association”

ambazo zitaonyesha kuwa Kampuni imeruhusiwa Kisheria kufanya biasharainayoombwa, pamoja na Majina ya Wamiliki wa kampuni, hisa zao na Utaifa wao;

  • Uthibitisho wa Uraia kwa kuwasilisha, nakala ya Hati ya Kusafiri nje ya nchi ya Tanzania au Hati ya kusafiri katika nchi za AfrikaMashariki, Cheti cha kuzaliwa au Hati ya Kiapo (Affidavit) kuonyesha kuwa ni Mtanzania, na kama mgeni alete Hati ya kuishi nchini daraja la kwanza (Residence Permit Class A);
  • Endapo wenye hisa wote wapo nje ya nchi itabidi maombi yaambatane na hati ya kiwakili (Power of Attorney) ya kumpa MamlakaRaia wa Tanzania, Raia wa Kigeni mwenye uhalali wa kuishi nchini kuwa anasimamia Kampuni husika (Power of Attorney);
  • Nakala ya ushahidi wa maandishi kuwa ana mahali pa kufanyia biashara (lease agreement, Title deed, Certificate of occupancy,e.t.c);
  • Hati ya kujiandikisha kama mlipa kodi (Tax Payer Identification Number).

Pamoja na hati ya udhibitisho kuwa hadaiwi kodi ( BusinessLicense Tax Clearance certificate)

  • Kibali kutoka katika Taasisi inayodhibiti biashara/Sekta husika ikiwa biashara hiyo inadhibitiwa na Mamlaka Fulani.

Mfano wa Taasisi / Mamlaka za Udhibiti wa biashara za Kisekta

TFDA –

Leseni zote zinazohusu usindikaji / ufakataji wa vyakula, Uuzaji wa madawa.

 CRB -

Leseni ya ukandarasi wa majengo na barabara. Nk.

Hati ya utaalam (Professional certificates)

– Kwa biashara zote za kitaalam – mfano leseni za kuendesha hospitali, zahanati,udaktari, sheria, uhandisi, urubani wa ndege, unahodha wa meli n.k.

Kulipia ada za Leseni

Baada ya kuwasilishwa kwa fomu na viambatisho vyake, Afisa biashara humwandikia kiwango cha Ada kinachotakiwa kwa kutumia mfumo waukadiriaji na malipo wa LGRCIS (Kwa kuzingatia orodha iliyopo kwenye Schedule

ya Ada za Leseni) Kisha Mteja atakwenda Benki/Dawati la malipo kulipa ada husika na kupata stakabadhi ya malipo halali,

A. MAOMBI YA LESENI MPYA.

 

Kwa mteja anayehuisha Leseni, ni kwamba Afisa wa Leseni anataarifa za mteja huyo kwa kuwa alizihitaji wakati wa kutoa Leseni mara ya kwanza.Kwa hiyo taratibu za kufuata ni:-

1. Kujaza fomu ya maombi ya Leseni na kuambatisha nyaraka zifuatazo:-

  • Nakala ya Leseni iliyoisha;
  • Kibali kutoka Mamlaka za Udhibiti kwa biashara zinazodhibitiwa;
  • Nakala ya Annual Return ya Kampuni iliyowasilishwa BRELA kwa biashara zenye Ada tofauti kutokana na Umiliki wa Kampuni ( Wageni au Watanzania)

Kulipia ada za Leseni

Mteja anapaswa kujaza fomu kwa ufasaha na kuweka viambatisho vyake, kisha kuiwasilishara kwenye dawati la ukadiriaji, ambapo Afisa biashara husika humkadiria kiwango cha Ada kinachotakiwa kwa kutumia mfumo wa ukadiriaji na malipo wa LGRCIS (Kwa kuzingatia orodha iliyopo kwenye Schedule ya Ada za Leseni) Kisha Mteja atakwenda kwenye tawi lolote la benk ya NMB kulipa ada husika na kupata hati ya malipo ya benk ambayo ataiwasilisha katika dawati la malipo la Halmashauri na atapatiwa stakabadhi ya malipo. Bofya 

Kuandikwa na kusainiwa leseni

Baada ya kukamilisha malipo, hatua inayofuata ni kuadikwa na kusaini kwa leseni; mteja anawasilisha maombi yake yakiambatana na stakabadhi ya malipo kwenye dawati la usajili.

Bofya hapa ili uweze kupakua Fomu ya Leseni ya Biashara.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI KIDATO CHA NNE 2018 January 24, 2019
  • ITILIMA YAENDELEA KUTESA MATOKEO KIDATO CHA NNE MKOANI SIMIYU January 24, 2019
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA ITILIMA YASHIKA NAFASI YA 26 KITAIFA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI KATI YA HALMASHAURI 184 NCHINI January 04, 2019
  • WANAFUNZI WA DARASA LA SABA WALIYO CHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA WILAYANI ITILIMA MWAKA 2019 December 17, 2018
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • KAIMU MKURUGENZI ITILIMA AZINDUA MAFUNZO YA MFUMO WA SIS KWA WALIMU WAKUU MSINGI

    February 05, 2019
  • KAIMU MKURUGENZI ASISITIZA UHAMASISHAJI WANANCHI UJENZI WA MADARASA

    January 28, 2019
  • KAMWE HATUTAITUPA FAMILIA YA MWANYIGU: MTAKA

    December 05, 2018
  • Baada ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha uliyopita kwa mafanio, sasa tunaelekea katika ujenzi wa hospitali Wilaya ya Itilima

    November 30, 2018
  • Angalia Zote

Video

Ujenzi Wa Miundombinu Ya Maji Itilima
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Business License
  • Procedure for Provision of Buliding Permit
  • Land Ownership

Tovuti Mashuhuri

  • Simiyu Regional Commissioner's Office
  • President's Official Website
  • Local Government Revenue Collections Dashboard
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Salary Slip Self Service
  • FFARS LINK
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    DED - ITILIMA

    Sanduku la Posta: 308 BARIADI

    Simu: +255 28 29 863 29

    Simu: 028 29 863 28

    Barua Pepe: info@itilimadc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

counters

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki ©2016 Kitengo cha TEHAMA. Haki Zote Zimehifadhiwa