AFISA MWANDIKISHAJI WA JIMBO LA ITILIMA ANAPENDA KUWATAARIFU WAOMBAJI WOTE WALIO OMBA KAZI YA WAANDISHI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI KWA AJILI YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KULA, USAILI UTAFANYIKA TAREHE 21 AGOSTI, 2024.
KWA TAARIFA ZAIDI FUNGUA VIUNGANISHI HAPA CHINI
TARAFA YA ITILIMA NA KINANG'WELI
TARAFA YA KANADI NA BUMERA
DED - ITILIMA
Sanduku la Posta: 308 BARIADI
Simu: +255 28 29 863 29
Simu: 028 29 863 28
Barua Pepe: info@itilimadc.go.tz
Hatimiliki ©2016 Kitengo cha TEHAMA. Haki Zote Zimehifadhiwa