1.Hakikisha umesajiliwa kwenye mfumo
Unaweza kusalijiwa kupitia afisa TEHAMA wa Halmashauri ya wilaya ya ITILIMA
2.Huisha akaunti yako ya Mfumo
Tumia akaunti yako ya barua pepe za serikali Ili kusajiliwa na uweze kuhuisha akauti yako mara baada ya hatua ya kwanza kukamilika
3.Ingia na chagua kiungo cha kibali cha Kusafiria
Upande wa kushoto mwa mfumo kuna machaguo,chagua kiungo cha kibali cha kusafiria kisha chagua Omba kibali.
4.Jaza Fomu kwa kufuata hatua namba 1 mpaka namba 5 .
Mara baada ya kukamilisha ujazaji wa fomu kikamilifu ,bonyeza wasilisha kukamilisha maombi ya kibali
Fuata kiunganishi hiki ili kupata ukurasa wa Mfumo wa vibali vya nje https://safari.gov.go.tz/index.php/user/auth/login
DED - ITILIMA
Sanduku la Posta: 308 BARIADI
Simu: +255 28 29 863 29
Simu: 028 29 863 28
Barua Pepe: info@itilimadc.go.tz
Hatimiliki ©2016 Kitengo cha TEHAMA. Haki Zote Zimehifadhiwa