Orodha ya majina ya ajira za walimu wa shule za msingi na sekondari kama yalivyotolewa na Ofisi ya Rais - TAMISEMI.
Jumla ya walimu 4,549 wamepangiwa moja kwa moja kufundisha shule mbalimbali za Msingi na Sekondari nchini zilizokuwa na upungufu mkubwa wa walimu.
Majina ya Walimu wa Ajira Mbadala Shule za Msingi na Sekondari Aprili 2019_compressed
DED - ITILIMA
Sanduku la Posta: 308 BARIADI
Simu: +255 28 29 863 29
Simu: 028 29 863 28
Barua Pepe: info@itilimadc.go.tz
Hatimiliki ©2016 Kitengo cha TEHAMA. Haki Zote Zimehifadhiwa